MAGAZETI YA LEO TAREHE 23/4/2018
Kwaya ya uinjili ya Sayuni ni kwaya inayofanya shughuli zake katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Majengo Dayosisi ya Morogoro, Lengo kuu la kuanzishwa kwaya hii ni kumtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji.