Posts
Showing posts from May, 2018
MAJENGO YAADHIMISHA PENTEKOSTE
- Get link
- X
- Other Apps
Na:Alfred Lukonge Hapo jana Jumapili ya tarehe 21/5/2018 ilikuwa ni siku ya kusheherekea Pentekoste ambapo kwa mujibu wa imani yetu ya kikristo, tunakumbuka jinsi Roho Mtakatifu alivyoanza kufanya kazi rasmi hapa Duniani kama Bwana wetu YESU Kristo alivyohaidi kuwa akiondoka atatuachia msaidizi tukiongozwa na mistari ya Biblia kutoka (MDO 2:17-21) Akitoa neno la mahubiri kwenye kanisa la KKKT Usharika wa Majengo lililopo Kihonda Dayosisi ya Morogoro Parish Worker wa usharika huo Bi.Happy Merry amebainisha kuwa watu wa kanisa wanatumia kigezo cha Roho Mtakatifu kwa kunena kwa lugha ndivyo sivyo, kwani Roho Mtakatifu akimtokea mtu lazima kuwe na mtafsiri kwa minajili ya watu waliopo karibu kuelewa kile kitu ambacho anakinena. Bi.Happy Merry akitoa neo la mahubiri katika ibada hiyo.