UJUMBE KUTOKA KWA MWENYEKITI BW.WINFRED NGULLO
Karibuni sana watu wa Mungu katika blogu yetu ambayo itakuwa inakuletea habari za uhakika za Injili hasa suala la uimbaji kutoka kwa waandishi mahiri na wenye kiu ya kufanya makubwa katika kusimamisha jina la Mungu na watu wapate kukombolewa.
Kama tunavyojua Yesu alikuja duniani tukombolewe hivyo tunataka kuonyesha ni namna gani ukombozi unaweza kufanyika kwa njia ya mtandao na watu wakaupokea.
Narudia tena kuwakaribisha na ninatoa ahadi ya kutowaangasha katika hilo.

Comments
Post a Comment